
Nani kuibuka Kidedea usiku huu.
USIKU
huu huko Mjini Vigo, Spain, Uwanjani Estadio de Balaídos, ipo Mechi ya
Kimataifa ya Kirafiki kati ya Mabingwa wa zamani wa Dunia Spain na
Mabingwa wa sasa wa Dunia Germany. Cristiano Ronaldo, atapambana kwa mara nyingine na Lionel Messi wakati Portugal itakapokutana na Argentina kwenye Mechi ya Kirafiki.Mastaa hao wawili ambao wamekuwa wakichuana vikali kuvunja kila Rekodi Duniani wote ndio Manahodha wa Nchi zao na Leo Uwanjani Old Trafford Jijini Manchester Ronaldo ataiongoza Portugal na Messi kuiongoza Argentina.
USIKU huu huko Mjini Vigo, Spain, Uwanjani Estadio de
Balaídos, ipo Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Mabingwa wa zamani
wa Dunia Spain na Mabingwa wa sasa wa Dunia Germany. Ingawa hii ni Mechi ya Kirafiki lakini macho ya Mashabiki Duniani yatawalenga wao ambao ndio Wachezaji Bora Duniani kwa vile wao ndio waliotwaa FIFA Ballon d'Or, Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani, kwa Miaka 6 iliyopita huku Messi akiitwaa mara 4 na Ronaldo mara 2. 
Wachezaji wa Argentina wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mazoezi wa Manchester City hivi karibuni wakijiweka sawa kuumana na mtanange wa kirafiki na Portugal ambao utapigwa usiku huu saa nne na dakika 45.
Hata
hivyo kazi hiyo inaelekea kuwa ngumu kwani Germany itawakosa Kipa wao
Manuel Neuer, Andre Schurrle, Marco Reus, Christoph Kramer na Jerome
Boateng kwani wote ni majeruhi. Kuelekea Mechi hii, zote Portugal na Argentina, zinatoka kwenye ushindi kwa Ronaldo kuipa ushindi Portugal alipofunga Bao walipoifunga Armenia 1-0 kwenye Mechi ya Kundi lao la EURO 2016 Jumamosi iliyopita na Messi kufunga Bao la pili kwa Penati wakati Argentina inaifunga Croatia 2-1 Uwanjani Upton Park, London kwenye Mechi ya Kirafiki Wiki iliyopita.
Hata hivyo kazi hiyo inaelekea kuwa ngumu kwani Germany
itawakosa Kipa wao Manuel Neuer, Andre Schurrle, Marco Reus, Christoph
Kramer na Jerome Boateng kwani wote ni majeruhi.
Akiongelea Mechi hii, Ronaldo, ambae Uwanja wa Old Trafford ni kama nyumbani baada ya kuichezea Man United kabla kuhamia Real Madrid, amesema: “Siku zote ni kitu spesho kurudi Old Trafford. Natumai Portugal itashinda!”
Lakini licha ya Spain, chini ya Kocha Vicente del Bosque,
kuwakosa Mastaa wao Straika Diego Costa na Cesc Fabregas kutokana na
kukabiliwa na maumivu, historia ya hivi karibuni pia uko upande wao
kwani Spain imeifunga Germany mara 3 mfululizo kwenye Mechi zao za
mwisho.
Portugal na Argentina zimewahi kukutana mara 7 lakini Mechi hii itakuwa mara ya pili kukutana tangu 1972 na mara ya mwisho kucheza ni Februari 2011 wakati Penati ya Dakika ya 90 ya Messi kuwapa Argentina ushindi wa Bao 2-1 huku Bao la Portugal likifungwa na Ronaldo.
No comments:
Post a Comment