Kipindi cha pili dakika ya 78 Cesc Fàbregas aliwafungia bao la pili Chelsea na kufanya 2-0 baada ya kupata pasi kutoka kwa Eden Hazard.
Cesc Fàbregas akitupia bao la pili

John Terry akipongezwa na wenzake baada ya kuipachikia bao la mapema dakika ya 2

John Terry anaifungia bao la kwanza Chelsea dakika ya 2 na kufanya 1-0 dhidi ya Stoke City kwenye Uwanja wa Britannia usiku huu. Bao likifungwa kwa kichwa baada ya kupigwa kona.
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
VIKOSI:
Stoke City starting XI: Begovic, Bardsley, Shawcross, Muniesa, Pieters, Cameron, Nzonzi, Walters, Bojan, Arnautovic, Crouch
Stoke subs: Butland, Huth, Whelan, Wilson, Adam, Diouf, Assaidi
Chelsea starting XI: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Diego Costa
Chelsea subs: Cech, Filipe Luis, Zouma, Ake, Oscar, Schurrle, Drogba
No comments:
Post a Comment