Mjini Malabo katika Mechi ya pili ya Kundi D la Mashindano ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, Mali na Cameroun zilitoka Sare ya Bao 1-1.
Ambroise Oyongo aliokoa kipigo Cameroun baada ya kusawazisha katika Dakika ya 84 kufuatia Bao la Dakika ya 71 la Mali lilifungwa na Sambou Yatabare.
No comments:
Post a Comment