BUKOBA SPORTS

Tuesday, January 6, 2015

FA CUP: EVERTON 1 vs 1 WEST HAM UNITED, ROMELU LUKAKU AMWOKOA KOCHA WAKE MARTINEZ! ASAWAZISHA BAO DAKIKA ZA MAJERUHI!

Romelu Lukaku aliwaokoa Everton kipigo pale aliposawazisha bao katika dakika za majeruhi kwa kufanya 1-1 alipopokea mpira kutoka kwa Bryan Oviedo kwa kuutuliza vyema na kuachia shuti na kumfunga kipa wa Everton na kumwokoa Kocha wake Martinez..Everton manager Roberto Martinez issues instructons as he strives to end his side's four-game losing streakMeneja wa Everton Roberto Martinez akiunga unga!!
Mchezaji wa West Ham United James Collins akishangilia bao lake kwenye Uwanja wa Everton Goodison ParkCollins akituma Salaam!
Collins Dakika ya 56 aliwapa bao la kichwa West Ham na kufanya 1-0 dhidi ya EvetonMtanange ukiendelea..West Ham midfielder Noble (left) competes in an aerial battle with Everton's Steven Naismith as both sides start stronglyPatashika!!!Lukaku akipanga amtoke vipi Winga wa West Ham Matt JarvisEverton players take their places in the line-up alongside their West Ham counterparts under the glare of floodlightsMartinez
VIKOSI:
West Ham substitutes: Jaaskelainen, O’Brien, Demel, Tomkins, Poyet, Vaz Te, Cole.
West Ham (4-4-1-1): Adrian; Jenkinson, Reid, Collins, Cresswell; Amalfitano, Nolan, Noble, Jarvis; Downing; Valencia.

Everton substitutes: Griffiths, Stones, Browning, Garbutt, Eto’o, McGeady, Kone.
Everton (4-2-3-1): Joel; Coleman, Jagielka, Distin, Oviedo; Besic, Barry; Naismith, Barkley, Mirallas; Lukaku.

No comments:

Post a Comment