BUKOBA SPORTS

Tuesday, January 20, 2015

FROLIAN KAJAGE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI BW. FERDINAND CORNELIUS RWEYEMAMU.


Mtangazaji wa Azam Tv Bw. Frolian Kaijage Amefiwa na Baba Mzazi Mzee Ferdinand Cornelius Rweyemamu aliyefariki Jumapili januari 18 akiwa na umri wa miaka 78.
Maziko ni Jumatano januari 21, 2015 nyumbani kwake Kijijini Itahwa nje kidogo na Mji wa Bukoba.

Pole sana Mdau Frolian Kaijage,

 www.bukobasports.com inakupa pole, Tupo pamoja!

No comments:

Post a Comment