Marehemu Joseph Bajumuzi alifikwa na mauti mapema wiki iliyopita katika Hospitali Mugana alipokuwa akitibiwa Wilayani Misenyi Bukoba Vijijini. Marehemu ameacha Watoto 15 pia marehemu alifariki akiwa na Umri wa Miaka 91. Katika Uzao wake Marehemu alibahatika kupata watoto 17 kati ya hao Wasichana 10 na Wavulana 7, Wawili kati ya hao walishatangulia mbele ya haki(Walishafariki).
Tuesday, January 27, 2015
MPIGANAJI MZEE JOSEPH BAJUMUZI AZIKWA KWAO KIJIJINI MUGANA - KANTALE, BUKOBA
Marehemu Joseph Bajumuzi alifikwa na mauti mapema wiki iliyopita katika Hospitali Mugana alipokuwa akitibiwa Wilayani Misenyi Bukoba Vijijini. Marehemu ameacha Watoto 15 pia marehemu alifariki akiwa na Umri wa Miaka 91. Katika Uzao wake Marehemu alibahatika kupata watoto 17 kati ya hao Wasichana 10 na Wavulana 7, Wawili kati ya hao walishatangulia mbele ya haki(Walishafariki).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment