BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 7, 2015

JUVENTUS 1 vs 1 INTERNAZIONALE, INTER YAIZIMA JUVE! WAANZA MWAKA MPYA 2015 NA SARE!

Mauro Icardi ndie kaisawazishia bao Inter kipindi cha pli Dakika ya 64 na kufanya mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.Mauro Icardi akisikilizia mashabiki Uwanjani!! Baada ya kusawazisha bao!Mapema kipindi cha kwanza dakiika ya 5 Carlos Tevez aliwapa Bao Juve na kufanya 1-0 dhidi ya Timu ya Internazionale.

No comments:

Post a Comment