BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 28, 2015

CAPITAL ONE CUP: SHEFFIED UNITED 2 - 2 TOTTENHAM(2-3) CHRISTIAN ERIKSEN AIPELEKA SPURS FAINALI WEMBLEY, KUKUTANA USO KWA USO NA CHELSEA.


Tottenham walitoka Sare 2-2 na Sheffield United kwenye Marudiano ya Nusu Fainali ya Capital One Cup na kutinga Fainali kwa watakayocheza Wembley na Chelsea.
Tottenham wamesonga kwa Jumla ya Mabao 3-2 baada ya ushindi katika Mechi yao ya kwanza iliyochezwa pia Wiki iliyopita huko White Hart Lane, walipoifunga Sheffield United Bao 1-0 kwa Bao la Penati iliyotolewa Dakika ya 75 baada ya Jay McEveley kuushika Mpira na Andros Townsend kupiga Penati hiyo na kufunga.

Che Adams akishangilia baada ya kutea benchi na kuifungia bao 2 Sheffield United usiku huu.
Kyle Walker
VIKOSI:
Sheffield United: Howard, Harris, Basham, Flynn, Doyle, Murphy, McEveley Scougall, Baxter, McNulty, Campbell-Ryce.
Akiba: Alcock, Higdon, Reed, Turner, Kennedy, Adams, Wallace

Tottenham: Vorm, Walker, Dier, Vertonghen, Davies, Mason, Stambouli, Lamela, Dembele, Eriksen, Kane.
Akiba: Friedel, Fazio, Rose, Paulinho, Townsend, Adebayor, Soldado
Refa: Mike Dean
View image on Twitter

No comments:

Post a Comment