BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 28, 2015

GABRIEL PAULISTA ASAINI MKATABA WA MIAKA 4.5 KLABU YA ARSENAL, JOEL CAMPBELL AJIUNGA NA VILLARREAL KWA MKOPO!

Gabriel Paulista, Mchezaji mpya wa Arsenal akitokea klabu ya Villarreal.

Gabriel Paulista akipozi kupata picha baada ya kujiunga na Klabu ya Arsenal. Paulista amejiunga rasmi na Klabu hiyo leo Jumatano. Na hapa akiwa amebeba jezi ambayo ataivaa katika Klabu ya ya Arsenal.

Gabriel Paulista ana Umri wa miaka 24.
Uhamisho huo wa Gabriel Paulista unamfanya Joel Campbellkujiunga kwa Mkopo na Klabu aliyotoka ya Villarreal kwa Mkopo.

No comments:

Post a Comment