Bao la Max Gradel dakika ya 35 kipindi cha kwanza lilitosha kumaliza kipindi cha kwanza Ivory Coast wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Cameroon.

Kipa wa Cameroon hakuona ndani shuti kali la Gradel

Gradel akishangilia bao lake la pekee kwa Ivory Coast

Gradel akipongezwa na maoja ya Wachezaji wawili wanaokipiga Klabu ya City Yaya Toure pamoja na Wilfried Bony

Wilfried Kanon na Mchezaji wa Cameroon Benjamin Moukandjo wakioneshana kazi..

Yaya Toure na Eric Choupo kwenye Patashika..

Mchezaji mpya wa Manchester City Wilfried Bony juu kwa juu kugombea mpira wa kichwa na Nicolas N'Koulou

Kolo Toure na Edgar Salli wa Cameroon

Seydou Keita akilalamika kwa Mwamuzi juu ya penati Mtanange uliomalizika kwa sare ya 1-1.
No comments:
Post a Comment