Saturday, February 14, 2015

BARNABA BOY, AMINI WATUA BUKOBA LEO TAYARI KWA KUTOA BURUDANI VALENTINE DAY LEO 14.02.2015 LINA'S NIGHT CLUB.


Wasanii wa Bongo Flava Amini na Barnaba Boy Wakishuka kwenye Ndege asubuhi hii kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba tayari kwa kutoa Burudani ya Nguvu kwenye siku maalum ya Valentine Day ambayo itafanyika Usiku huu kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini. Waandaaji ni Zachwa Investment wakishirikiana na Shemeji Investment

Karibu Bukoba






One love...

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava Barnaba Boy
Amini



No comments:

Post a Comment