Saturday, February 14, 2015

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT YATOKA LEO. SHULE 10 ZA BINAFSI ZATAMBA!

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde akizungumza na wanahabari jijini Dar leo.
Shule za sekondari za binafsi zaongoza 10 bora matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana.
Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (NECTA), Dk.Charles Msonde amesema katika matokeo ya kidato cha nne ya mtihani wa mwaka jana ufaulu umeongezeka kwa asilimia 12.67 ikilinganishwa na mwaka 2013.

BONYEZA LINK HII UJIONEE MATOKEO HAYO 2014

No comments:

Post a Comment