Saturday, February 14, 2015

LIVE MATCH: MTANANGE WA YANGA vs BDF XI FC YA BOTSWANA UNAENDELEA.. UWANJA WA TAIFA, YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

No comments:

Post a Comment