Saturday, February 14, 2015

FA CUP: WEST BROM ALBION 4 - 0 WEST HAM UNITED, BROWN IDEYE AFANYA MAAJABU NA SAIDO BERAHINO WAKISONGA HATUA YA ROBO FAINALI FA CUP LEO.


Straika wa West Brom Brown Ideye akishangilia bao katika dakika ya 20 dhidi ya  West Ham kwenye Uwanja wao wa Hawthorns

Craig Dawson alitupia nae

James Morrison hatari sana leo!
BAO za West Bromwich Albion zilifungwa na
Brown Ideye katika dakika ya 20, Morrison 42, Brown Ideye dakika ya 57, Saido Berahino dakika ya 72


3-0

Straika Saido Berahino
Morgan Amalfitano na Chris Brunt walipishana akili hapa!!

Morgan Amalfitano mbele ya Mwamuzi akifanya ndivyo sivyo!!

Nje!!

Tony Pulis furaha tupu leo hii baada ya kuichapa West Ham 4-0

Carl Jenkinson wa West Ham  dhidi ya Stephane Sessegnon leo kwenye mchezo wa Raundi ya tano

Craig Gardner chupuchupu afunge bao

Saido Berahino


Ideye


Brown Ideye akishangilia tena

Craig Gardner akikabwa vilivyo...

Meneja Tony Pulis  wa West Brom akishangilia timu yake kuibuka na Ushindi wa bao 4-0 dhidi ya  West Ham na kusonga hatua ya Raundi ya 6 ya  FA Cup ambayo ndio Robo Fainali ya Ligi hiyo leo Jumamosi.

Ideye akifanya mambo yake baada ya kufunga bao

No comments:

Post a Comment