Wakicheza kwao, Bolton walitangulia kufunga kwa Bao la Penati ya Dakika ya 59 la Gudjohnsen na Liverpool kusawazisha Mfungaji akiwa Raheem Sterling katika Dakika ya 86.
Bolton walicheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 66 baada ya Neill Danns kupewa Kadi Nyekundu.
Kwenye Raundi ya 5 Liverpool watacheza Ugenini na Crstal Palace.
No comments:
Post a Comment