Kwenye Mechi hiyo, Real walimkosa Supastaa wao Cristiano Ronaldo ambae alikuwa akimalizia Kifungo cha Mechi mbili baada ya kupewa Kadi Nyekundu.
Lakini Jumamosi Ronaldo atarejea kilingeni kwenye Dabi ya Jiji la Madrid huko Vicente Calderon wakati Real watakuwa Wageni wa Mahasimu zao Atletico Madrid kwenye Mechi ya La Liga.
No comments:
Post a Comment