BAO za Germany zilifungwa na Marco Reus dakika ya 39 na lile la dakika ya 44 la Thomas Müller zilitosha kuipa Germany Ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya wenyeji Gergia leo zikiongozwa na Mwamuzi Clément Turpin. 
Mpaka ndani ya Nyavu.

Thomas Muller akiachia shuti na kuifunga Timu ya Georgia leo
No comments:
Post a Comment