BUKOBA SPORTS

Sunday, March 29, 2015

FULL TIME: PORTUGAL 2 vs 1 SERBIA, RONALDO AKABWA NA KUSHINDWA KULIONA LANGO LA SERBIA!


Portugal ndio walioanza kuliona lango mapema la Serbia dakika ya 10 kupitia kwa Ricardo Carvalho kipindi cha kwanza dakika ya 10 nao Serbia walisawazisha kipindi cha pili dakika ya 61 kupitia kwa Nemanja Matic dakika ya 61 na Mchezaji wa Portugal dakika chache aliipa bao la pili Portugal Fábio Coentrão dakika ya 63 mbele ya Mashabiki 58,430 na kipute hicho kikiongozwa na Mwamuzi Christian Brocchi.

No comments:

Post a Comment