BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 21, 2015

CHRIS SMALLING ASAINI MKATABA MPYA LEO KLABU YA MANCHESTER UNITED MPAKA 2019

Chris Smalling (kushoto) akisaini mkataba mpya wa kumbakisha kwa Klabu ya Manchester United mpaka mwaka 2019 kulia ni Meneja wa Klabu Louis van Gaal leo hii
BEKI wa klabu ya Manchester United, Chris Smalling amekubali kusaini mkataba mpya ambao utambakisha katika timu hiyo mpaka June mwaka 2019. Smalling mwenye umri wa miaka 25 alijiunga na United akitokea Fulham mwaka 2010 na ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu akiwa Old Trafford. Akihojiwa Meneja wa United, Louis van Gaal amesema Smalling ameimarika na amekua kwa kipindi kifupi ambacho amekuwa akiinoa timu hiyo. Van Gaal aliendelea kudai kuwa beki huyo amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo na amefurahi kusaini mkataba mpya.
BEKI wa klabu ya Manchester United, Chris Smalling amekubali kusaini mkataba mpya ambao utambakisha katika timu hiyo mpaka June mwaka 2019. Smalling mwenye umri wa miaka 25 alijiunga na United akitokea Fulham mwaka 2010 na ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu akiwa Old Trafford. Akihojiwa meneja wa United, Louis van Gaal amesema Smalling ameimarika na amekua kwa kipindi kifupi ambacho amekuwa akiinoa timu hiyo. Van Gaal aliendelea kudai kuwa beki huyo amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo na amefurahi kusaini mkataba mpya.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Waliposhinda bao 4-2 dhidi ya Man City hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment