Mshambuliaji waYanga, Amis Tambwe akichuana na beki wa Stand United, Peter Mutabuzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-2.

Stand United goli la kwanza dakika ya 20. Amiss Tambwe anasawazishia Young Africans dakika ya 30 na kufanya bao kuwa 1-1. Mrisho Ngassa anaipatia Yanga goli la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Stand United.
Hadi mapumziko 2-1.
Dakika ya 65 Kheri Mohamed aliisawazishia bao Stand United kwa kufanya 2-2 na la kwanza alilifunga yeye.
Dakika ya 78 Saimon Msuva anaipatia bao la tatu Yanga kwa mkwaju wa penati na kufanya 3-2 dhidi ya Stand United ya Shinyanga.
Faustine Ruta FULL TIME .....YANGA 3 V 2 STAND UNITED
No comments:
Post a Comment