BUKOBA SPORTS

Saturday, April 11, 2015

HAPPY BIRTHDAY FADHIL

Ongera sana Mtoto Fadhil

Happy birthday ya Mtoto Fadhil, Mtoto wa Mpigananji mwandishi wa Mtandao wa LENZI YA MICHEZO. Mama yake mzazi alikuwa na haya kumpa na kuwashukuru wadau Katika siku hii ya kuzaliwa kwake...
Mungu akukuze kwa afya, kimo na busara na akufanye kuwa taa katika maisha yako. Ahsante Mungu kwa zawadi hii njema uliyonipa katika maisha yangu. Hakika nina kila sababu ya kusema ahsante Mungu maana si kwa uwezo wangu bali ni kwa uwezo wako. Pia nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea mimi hatimaye na mimi nimekuwa mlezi, kaka zangu Anthony Pallangyo, Makisi Palangyo, Elibariki Palangyo Jafferson Pallangyo, na mdogo wangu Pallangyo de Neema na wifi yangu Kannyaa Pallangyo kwa ushirikiano wenu lionipa pamoja na wafanyakazi wote wa TSN LTD. Shukrani zingine ziendee kwa Angella Michael Msangi kwa keki nzuri yenye viwango. Hakika Fadhil na rafiki zake walifurahia

No comments:

Post a Comment