BUKOBA SPORTS

Saturday, April 11, 2015

FULL TIME: BAYERN MUNICH 3 vs 0 EINTRACHT FRANKFURT, ROBERT LEWANDOWSKI NA MULLER WAIPA TIMU USHINDI.

Bayern Munich wamefungiwa bao na Robert Lewandowski dakika ya 15 aliipa bao na kufanya 1 - 0 Eintracht Frankfurt kipindi cha kwanza.
Robert Lewandowski dakika ya 66 alipachika bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt. Bao la tatu lilifungwa nae tena Thomas Müller dakika ya 82 na mtanange kumalizika kwa 3-0.

No comments:

Post a Comment