Real Madrid bao zake zilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 21 kipindi cha kwanza na bao la pili lilifungwa na Javier Hernández mchezaji wa Manchester United anayekipa Klabuni hapo katika dakika ya 31. Jese alifunga bao la mwisho la tatu dakika ya 83 na mtanange kumalizika kwa 3-0 dhidi ya Eibar.
VIKOSI:
Real Madrid XI: Navas, Arbeloa, Varane, Ramos, Marcelo; Modric, Isco, Illarramendi, Hernandez, Ronaldo, Jese
Eibar XI: Irureta, Anibarro, Capa, Borja Fernandez, Dani Garcia, Lillo, Didac Vila, Manu, Saul Berjon, Raul Navas, Javi Lara
No comments:
Post a Comment