BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 15, 2015

JURGEN KLOPP KUONDOKA KLABUNI BORUSSIA DORTMUND MWISHONI MWA MSIMU HUU!

Kocha wa Klabu ya Bundesliga ya Germany Borussia Dortmund, Jurgen Klopp, ametangaza kuachana na Klabu hiyo inayosuasua Msimu huu.Kocha huyo ambae Mkataba wake ulikuwa unamalizika 2018 amesema ataondoka Klabuni hapo mwishoni mwa Msimu. Klopp, mwenyevMiaka 48, alijiunga na Dortmund Mwaka 2008 na kuiwezesha kutwaa Ubingwa wa Bundesliga Mwaka 2011 na 2012 ikiwa na pamoja na kutwaa Dabo akiweka rekodi ya kuwa Meneja wa kwanza wa Dortmund kufanya hivyo.
Pia Klopp aliiwezesha kufika Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI ambayo walifungwa 2-1 na Bayern Munich.
Hivi sasa Dortmund wako Nafasi ya 10 kwenye Bundesliga wakiwa Pointo 37 nyuma ya Mabingwa na Vinara wa Ligi hii ya Germany, Bayern Munich.Mchezaji wake Mats Hummels amehusishwa kutimkia Ligi kuu England kwenye Klabu ya Manchester United msimu ujao.
Ilkay Gundogan nae hivyo hivyo kwenda England
Jurgen Klopp confirmed in a press conference he is to leave Borussia Dortmund this summer
Jurgen Kloppkwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo
An emotional Klopp said he believed Dortmund needed a change of manager 
Klopp kuondoka kwake kunahitaji Dortmundkufanya mabadiliko kwa kuweka meneja mpya ili waweze kurudi kwenye hali yao kama walivyokuwa na hatimae kucheza Klabu Bingwa.
Klopp will officially cease to be Dortmund manager on June 30
Klopp kuiacha Klabu hiyo June 30
Klopp has enjoyed seven largely successful years in charge at the Westfalenstadion
Klopp akiwana machungu kusema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.
The emotion was clear to see as Klopp announced he was leaving the club
Klopp leaves the press conference after confirming his departure as Dortmund boss in the summer
Klopp akiondoka kwenye Ukumbi huo
Klopp was alongside chief executive Hans-Joachim Watzke (left) and sporting director Michael Zorc (right)
Klopp alikuwa karibu na Hans-Joachim Watzke (kushoto) na Michael Zorc (kulia)

No comments:

Post a Comment