BUKOBA SPORTS

Sunday, April 12, 2015

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 4 vs 2 MANCHESTER CITY, DERBY YAMALIZIKA UNITED KIDEDEA!

 Chris Smalling  dakika ya 74 kipindi cha pili anaipachikia bao la nne na kufanya 4-1 dhidi ya Manchester City kwa kichwa mpira wa adhabu -frii kiki, kwenye Uwanja Old Trafford. Dakika ya 89
Sergio Agüero aliwafungia bao la pili Manchester City baada ya kutengewa pasi na Pablo Zabaleta likiwa bao lake la 100 kwa City na kufanya mpira umalizike kwa bao 4-2.
Mata na Chris Smalling wakishangilia bao!
Juan Mata aliwafunga bao la 3 na kufanya 3-1 dhidi ya Man City Kipindi cha pili dakika ya 67 akipata pasi kutoka kwa Wayne Rooney.Aguero akifunga bao la pili kwa CityAguero na Silva wakiwa hoi!!!
Ushindi huu wa Man United umewachimbia Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 1 nyuma ya Timu ya 2 Arsenal na Pointi 4 mbele ya City ambao wako Nafasi ya 4.
Pia ushindi huu umemaliza uteja wa Man United wa kufungwa Mechi 4 mfululizo katika Dabi ya Manchester na kuhakikisha pia ile historia ya kutofungwa mara 5 mfululizo na Mpinzani yeyote inadumishwa.
Chris Smalling akitupia baoMpaka kwenye Nyavu...James Milner of Manchester City lies injuredTulieni...mimi ndiye mwamuzi!!Kocha wa England Roy nae ameshuhuda live kipute hicho cha Debi ya ManchesterVan Gaal na Wasaidizi wake Rooney akikabwa na Martin wa City3-1Juan Mata akishangilia bao lakeMarouane Fellaini dakika ya 23 aliifungia bao la pili kwa kichwa kwa kuunganisha mpira uliopigwa kwa juu na Ashley Young na kufanya 2-1 dhidi ya Man City kwenye Uwanja wa Old Trafford. Hadi mapumziko Man United 2-1 Man City.Fellaini akifanya yake..Kocha wa Zamani wa Man United Mzee Ferguson nae alikuwepo kwenye kipute cha Manchester United dhidi ya Man City.Ashley Young anaisawazishia bao dakika ya 14 Man United na kufanya 1-1.1-1Ashley Young akishangilia mbele ya <ashabiki wa United baada ya kusawazisha baoDakika ya 8 tu Aguero alishaziona nyavu
1-0 Aguero dakika ya 8 anaifungia bao la kuongoza City baada ya kupata pasi kutoka kwa David Silva.Bao!! 1-0 Taswira Timu zote mbili zikiingia Uwanjani Old TraffordTayari kwa kipute kuanza...cha Debi yaoNi Man United VS Man CityWamekutana...Makocha wasaidizi City na United wakiteta jambo kabla ya mtanange kuanza...leo hii.VIKOSI:
Manchester United:
De Gea, Valencia, Smalling, Jones, Blind, Carrick, Fellaini, Herrera, Mata, Young, Rooney.
Akiba: Valdes, Rafael, Rojo, McNair, Januzaj, Di Maria, Falcao.

Manchester City:
Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy, Fernandinho, Toure, Navas, Milner, Silva, Aguero.
Akiba: Caballero, Mangala, Kolarov, Fernando, Nasri, Lampard, Dzeko.

No comments:

Post a Comment