BUKOBA SPORTS

Sunday, April 12, 2015

FULL TIME: YANGA 3 vs 1 MBEYA CITY ...UWANJA WA TAIFA

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatika Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga inaongoza Bao 3 - 1.PICHA NA OTHMAN MICHUZIKipa wa Timu ya Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku washabiki wa Yanga wakishangilia ushindi.Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga inaongoza Bao 3 - 1.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakisangilia ushindi.
Picha na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment