BUKOBA SPORTS

Thursday, April 16, 2015

UEFA EUROPA LEAGUE: VfL WOLFSBURG 1 vs 4 NAPOLI, HIGUAIN NA MAREK HAMSIK WAONGOZA KUICHAKAZA WOLFSBURG USIKU HUU! KOCHA RAFAEL BENITEZ ACHEKELEA..!

Hatari tupu!! Mtanange ulimalizika kwa bao 4-1 dhidi ya WolfsburgVfL Wolfsburg 0 vs 2 Napoli Bao zimefungwa Gonzalo Higuaín dakika ya  15 na  Marek Hamsik dakika  23. 
Kipindi cha kwanza kilimalizika Napoli wakiongoza kwa bao 2-0 dhidi ya VfL Wolfsburg. Marek Hamsik celebrates with team-mates after making it 3-0 to Napoli in the first leg of the quarter-finalKipindi cha pili Napoli walifanikiwa kupata bao la tatu kupitia kwa Marek Hamsik dakika ya 64 na kufanya 3-0 Wolfsburg ambao walikuwa kwao kwenye mchezo huu. Bao la nne lilifungwa kwa kichwa na Manolo Gabbiadini dakika ya 76 kwa kuunganisha Krosi ya Lorenzo. Bao la Wolfsburg lilifungwa na Nicklas Bendtner dakika ya 80 na kufanya matokeo kuwa 4-1.Marek Hamsik dakika 23 akishangilia bao lake na kupongezwa na wenzie wa Napoli.Kocha wa Zamani wa Chelsea na Liverpool kwa sasa akiwa Napoli akisisitiza jambo wakati wa mechi
Mitanange ya leo Rafael Benitez

MATOKEO  YA MECHI ZA LEO

No comments:

Post a Comment