BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 21, 2015

TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD MSANII BK SANDE WA BUKOBA ANAOMBA KURA YAKO ILI ASHINDE! KWA WIMBO BORA WA ASILI YA KITANZANIA..


BK Sande ni kijana wetu anawakilisha Kagera vyemaa na anaimba vizuri na hasa utamaduni wa wahaya. Nakuomba mpigie kura kwenye mashindano ya Kili music award upande wa msanii wa nyimbo asilia. Mi nampigia kura wewe je?
FUATA MASHARTI

No comments:

Post a Comment