Arsenal wamefunga Msimu kwa kushinda Mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu England walipoitwanga Bao 4-1 West Bromwich Albion huku Bao zao zote zikifungwa Kipindi cha Kwanza.
Arsenal walikwenda Mapumziko wakiwa Bao 4-0 mbele kwa Hetitriki ya Theo Walcot na Bao moja la Jack Wilshere.
Kipindi cha Pili, Gareth McAuley aliipa Bao WBA na kuifanya Gemu iwe 4-1 na kumalizika hivyo hivyo.
VIKOSI:
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs, Cazorla, Coquelin, Wilshere, Ozil, Sanchez, Walcott.
Akiba: Szczesny, Koscielny, Giroud, Oxlade-Chamberlain, Ramsey, Monreal, Flamini.
West Brom: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Morrison, Yacob, Fletcher, McManaman, Berahino, Brunt.
Akiba: Baird, Gardner, Ideye, Anichebe, Gamboa, Roberts, Palmer.
Refa: Mark Clattenburg
No comments:
Post a Comment