John Terry akiwaongoza Chelsea kushangilia Ubingwa wao na Kombe lao msimu huu 2014-2015
Hadi mapumziko Gemu hii ilikuwa 1-1 na Sunderland ndio walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 26 la Steven Fletcher na Chelsea kusawazisha kwa Penati ya Dakika ya 37 iliyopigwa na Diego Costa ambae aliingia Dakika ya 28 kumbadili Didier Drogba alieumia na kubebwa juu kwa juu na Timu nzima ya Chelsea ikiwa ni heshima kwa Mkongwe huyo ambae ametangaza kuiacha Chelsea.
Kipindi cha Pili, Loic Remy alifunga Bao la Pili kwa Chelsea katika Dakika ya 70 na la 3 Dakika ya 88 na kuwapa ushindi wa Bao 3-1.
Straika Didier Drogbaakivishwa crown na Kocha Jose Mpurihno
Drogba akihamasisha kushangilia ubingwa!
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Matic, Cuadrado, Willian, Hazard, Drogba.
Akiba: Luis, Courtois, Remy, Costa, Christensen, Boga, Solanke.
Sunderland: Mannone, Jones, Coates, O'Shea, Van Aanholt, Johnson, Larsson, Rodwell, Wickham, Defoe, Fletcher.
Akiba: Cattermole, Pickford, Reveillere, Graham, Giaccherini, Vergini, Buckley.
Refa: Lee Mason
No comments:
Post a Comment