BUKOBA SPORTS

Saturday, June 20, 2015

SHEREHE YA KUZINDUA MRADI WA MBUZI NA USHIRIKIANO MPYA NA WADAU TOKA MAREKANI YAFANA BUKOBA LEO JUNI 20, 2015.

Rais wa COSAD Tanzania Ndg Smart Baitani(katikati) akiwa sambamba na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa John Mongella leo wakati wa Sherehe ya Kuzindua Mradi wa Mbuzi(One Woman, One Goat) na Ushirikiano Mpya na Wadau toka Marekani leo Jumamosi juni 20, 2015.
Cosad ni Shirika lisilo la Kiserikali ambalo linamiradi yake Hapa Mkoani Kagera. Leo jumamosi wamekutana na Wadau kutoka Marekani na kuweka mikakati mipya katika Mradi huo wa Mbuzi, Ikiwa na manufaa katika Jamii na mchango wake kiuchumi na Kielimu. Wageni wengine waliojumuika pamoja katika sherehe hiyo ni pamoja na Bukoba Rotary Club, GCN-Fair International Volunteers.

Rais wa Cosad Tanzania Bw.Smart Baitani(kulia) akiteta jambo kwa furaha kwenye Sherehe hiyo iliyofanyikia Katika maeneo ya kituo chao cha kutoa huduma katika hospital ya COSAD iliyopo maeneo ya Nyamkazi ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Burudani ya Ngoma ikiendelea..
Furaha ilitawala!
`Bi. Adelina nae alikuwepo katika Sherehe hiyo akiiwakisha vyema Bukoba Rotary Club




Rais wa Cosad Tanzania Bw.Smart BaitaniWageni kutoka Marekani ambao wamekuja na Ujumbe mpya/ Ushirikiano wa Mradi wa Mbuzi.
kulia ni Rais wa Cosad akifafanua jambo la kuhusu wageni hao kutoka Marekani
Vijana wakitokelezea wakiwa na Furaha ya kupata Ugeni

Taswira ndani sherehe ikiendelea..


Rais wa Cosad Tanzania Bw.Smart Baitani

Taswira kamili ya Sherehe hiyo

Mratibu wa Miradi Nchini COSAD Bi. Brittany Leitch
Kulia ni dada Monica Paulo akiwa na rafiki yake kutoka Marekani.

Mwakilishi wa Ubarozi Mickie Donan(kuhototo) akiwa na Mratibu wa Miradi Nchini COSAD Bi. Brittany Leitch wakisikiliza neno kwa makini.
Bi. Lisa akitambulisha wenzake alioambatana nao kutoka Marekani ambaye ni Kiongozi wao kupitia GCN
Bi. Lisa Leclaile Akieleza jambo juu ya jambo kuhusu Mradi wa Mbuzi.Baadhi ya Vijana wa Cosad walipata picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment