BUKOBA SPORTS

Monday, June 29, 2015

UZINDUZI WA ALBUM YA KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA "KAPOTIVE LIVE SHOW" WATIA FORA MJINI NGARA, WENGI WAJITOKEZA!!

Kiongozi wa Kikundi cha Kapotive Star Singers-Bukoba Bw. Andrew Kagya akiteta jambo na Wakazi wa Mji wa Ngara na Vitongoji vyake waliopata nafasi ya kuhudhuria Tamasha la Uzinduzi huo wa Albam ya "Kapotive Live Show" kwenye Ukumbi wa City Life uliopo Ngara Mjini jana Jumapili Juni 28, 2015.Tayari kwa Uzinduzi huo kwenye Ukumbi wa City Life NgaraBaadhi ya Waimbaji wa Kapotive Star Singers-Bukoba wakishambulia jukwaa mbele ya Mashabiki wao

Viongozi sehemu ya Mgeni rasmi(katikati) Ni Mkuu wa Wilaya ya Ngara, (Kulia) Baba Paroko na Kushoto Baba Paroko msaidizi.



No comments:

Post a Comment