Nathan Dyer (centre) puts his head on the line to score Leicester's third - and winning - goal against Aston Villa at the King Power Stadium
Nathan Dyer ndie aliyeapa bao la ushindi na kuizodoa Aston Villa iliyokuwa mbele ya bao 2-0 kenye Uwanja wa King Power Stadium
Dyer (centre), who is on loan from Swansea, managed to get his head to the ball to score, but was clattered by Brad Guzan in the aftermath
Leicester City, Timu iliyopanda Daraja Msimu huu, imeendeleza wimbi lao la kutofungwa baada ya kutoka nyuma kwa Bao 2-0 na kuichapa Aston Villa 2-0.
Villa walitangulia kwa Bao la Chipukizi wao Jack Grealish na Carles Gil kuwapa Bao la Pili.
Lakini Ritchie de Laet aliwapa uhai Leicester na Jamie Vardy kusawazisha huku Nathan Dyer, Mchezaji wa Mkopo kuroka Swansea, akipiga Bao la ushindi katika Dakika ya 89.
Matokeo haya yamewafanya Leicester wakamate Nafasi ya Pili kwenye Ligi wakiwa Pointi 4 nyuma ya Man City na Pointi 1 mbele ya Timu ya 3 Man United.
As the ball (top) flies towards the Aston Villa goal, Dyer is sandwiched between Alan Hutton (left) and goalkeeper Guzan (centre)
Kipa akiwa na  Dyerkwenye patashika
The Leicester fans salute their hero Dyer as he walks off the pitch after receiving medical treatment in the aftermath of his goal
Jamie Vardy scored the second of Leicester's three goals as they fought back from two goals down to beat Aston Villa on Sunday
Jamie Vardyakishangilia bao lake
Vardy screams in delight as he runs to the corner flag to celebrate; he scored in the 82nd minute to level the scores at 2-2
Vardy akishangilia baada ya kufanya  2-2
England striker Vardy (bottom) bundles the ball past Brad Guzan in the Aston Villa goal to send the home fans into raptures
Ritchie De Laet (centre right) scored a rare goal to make the score 1-2 and give the home side a glimmer of hope at the King Power
Ritchie De Laet alifanya 2-1