SUNDERLAND 0 vs 1 TOTTENHAM HOTSPURS, KOCHA WA SUNDERLAND KWENYE KUTI KAVU! ABAMIZWA TENA HII LEO!
Kipa wa Sunderland alipofungwa na Ryan Mason bao la pekee kwenye Mtanange hii leo jumapili katika dakika ya za mwishoni kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Stadium of Light. Spurs wao huu ni ushindi muhimu sana kwao na wamepanda kutoka nafasi ya 17 waliyokuwepo na kutua nafasi ya 12 na wakipata pointi 6 kwa msimu huu mpya 2015/2016 na katika mechi tano.
No comments:
Post a Comment