BUKOBA SPORTS

Sunday, October 25, 2015

DKT MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mkoani Geita mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga kura yake

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli akikunja vizuri karatasi baada ya kupiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.

No comments:

Post a Comment