LA LIGA: REAL SOCIEDAD 0 v 2 ATLETICO MADRID, ANTOINE GRIEZMANN NA YANNICK WAIPA USHINDI ATLETICO MADRID.
Antoine Griezmann dakika ya 9 anachomoka mabeki wa Real Sociedad na kumfunga kipa wao, Atletico Madrid sasa wanaongoza bao 1-0. Mchezo huu unapigwa ndani ya Uwanja wa Estadio Anoeta, Spain.
Bao la pili limefungwa na Yannick Ferreira-Carrasco dakika ya 90' +1' na mtanange kumalizika kwa bao 2-0 dhidi ya timu ya Real Sociedad.
No comments:
Post a Comment