BUKOBA SPORTS

Saturday, October 24, 2015

BUNDESLIGA: BAYERN MUNICH 4 v 0 FC COLOGNE, MASTAA WAIPAISHA ZAIDI KILELENI BAYERN LEO! ARJEN ROBBEN ARUDI NA KUFUNGA BAO!

BAO za Bayern Munich zimefungwa na Arjen Robben dakika ya 35, Arturo Vidal dakika ya 40, Robert Lewandowski dakika ya 62, Thomas Müller dakika ya 77' Kwa mkwaju wa penati na kwa FC Cologne  hawakufunga bao hata moja  kwenye Uwanja wa Allianz Arena, Munich, Germany.Robben AKIPONGEZWA kwenye Uwanja wao wa Allianz Arena

No comments:

Post a Comment