BUKOBA SPORTS

Saturday, October 24, 2015

FULL TIME: ARSENAL 2 v 1 EVERTON, OLIVIER GIROUD NA LAURENT KOSCIELNY WAIPANDISHA GUNNERS KILELENI USIKU HUU!

Giroud akishangilia bao lake usiku huu, Arsen imeshinda Everton bao 2-1 na kupanda kileleni.
Arsenal bao zake zimefungwa kipindi cha kwanza bao la kwanza likifungwa na Olivier Giroud dakika ya 36 na bao la pili likifungwa na Laurent Koscielny dakika ya 38. Bao la Everton limefungwa na Ross Barkley dakika ya 44 na kwenda mapumziko zikiwa 2-1.Olivier Giroud dakika ya 36 na bao la pili likifungwa na Laurent Koscielny  na kuipandisha Timu ya Gunners kileleni kwenye Ligi kuu England wakiwa na pointi 22.
Laurent Koscielny alipofunga bao la pili kwa kichwa na kufanya 2-0Barry akioneshwa kadi nyekundu
Kipute kinaendelea kipindi cha kwanza sasa...0-0Nje ya Uwanja wa Emirates
VIKOSI:
Arsenal wanaoanza XI:
Cech, Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Sanchez, Giroud.
Arsenal akiba: Debuchy, Gibbs, Walcott, Flamini, Chambers, Campbell, Macey
Everton wanaoanza XI: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway, McCarthy, Barry, Lennon, Barkley, Deulofeu, Lukaku
Everton akiba: Robles, Kone, Mirallas, Naismith, Cleverley, Osman, Funes Mori 


No comments:

Post a Comment