ARSENAL WAJIFUFUA WATULIA KILELENI TANGU FEB. 2014, LEO NI PATASHIKA DABI YA MANCHESTER UNITED v MANCHESTER CITY
Arsenal wamekaa kileleni mwa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza tangu Februari 2014 baada ya kuichapa Everton 2-1 Uwanjani Emirates.
Bao za Olivier Giroud na Laurent Koscielny ndizo zilizowapa ushindi huku Everton wakifunga Bao lao kupitia Ross Barkley.
Everton wangeweza kusawazisha kama si Kichwa cha Romelu Lukaku kupiga posti.
No comments:
Post a Comment