Mnamo Juni mwaka huu, Blatter alitangaza kuwa atajiuzulu wadhfa wake kama Rais wa FIFA ingawa yeye pia anatumikia marufuku ya siku 90, Hata hivyo amekanusha kuwa hakushiriki katika kosa lolote la ufisadi katika shirikisho hilo. Platini amekuwa Rais wa UEFA tangu mwaka 2007, alitarajiwa kushinda katika uchaguzi wa kuchukua nafasdi ya Blatter, ambaye sasa ana umri wa miaka 79. Amesema anaamini kuwa ataungwa mkono na washirika mbalimbali katika Soka kushinda kiti cha Urais wa FIFa licha ya kushukiwa ufisadi.
Tuesday, October 20, 2015
MICHEL PLATINI ASEMA BADO ANATAKA UONGOZI KUMRITHI BLATTER!
Mnamo Juni mwaka huu, Blatter alitangaza kuwa atajiuzulu wadhfa wake kama Rais wa FIFA ingawa yeye pia anatumikia marufuku ya siku 90, Hata hivyo amekanusha kuwa hakushiriki katika kosa lolote la ufisadi katika shirikisho hilo. Platini amekuwa Rais wa UEFA tangu mwaka 2007, alitarajiwa kushinda katika uchaguzi wa kuchukua nafasdi ya Blatter, ambaye sasa ana umri wa miaka 79. Amesema anaamini kuwa ataungwa mkono na washirika mbalimbali katika Soka kushinda kiti cha Urais wa FIFa licha ya kushukiwa ufisadi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment