Monday, October 19, 2015

PEP GUARDIOLA ASEMA WATAPAMBANA NA ARSENAL MPAKA MWISHO! BAYERN MUNICH NAO WAJIFUA KWENYE UWANJA WA EMIRATES TAYARI KUKUTANA NA ARSENAL LEO JUMANNE KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE!

Meneja wa Bayern Munich Pep Guardiola akijibu maswali leo hii jumatatu wakati akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya Mtanange wao wa kesho jumanne wa Klabu Bingwa Uefa Champions League dhidi ya Arsenal.

Xabi Alonso (kushoto) na straika wao Thomas Muller

Mchezaji wa zamani wa Liverpool na Real Madrid staa Alonso wakati wa mazoezi leo hii kwenye Uwanja wa Arsenal Emirates.

Muller,sasa ana bao 15 kwa Bayern msimu huu na hapa akiwa mazoezini Emirates

Kepteni wa Bayer Philipp Lahm akiwa anachuana na straika Robert Lewandowski

Bayern Munich wapo Group F na kesho wanacheza na Arsenal

Bayern wako tayari kuikabili Arsenal

Lewandowski ameshafunga bao 22 kwenye mechi 16 na Poland kwa msimu huu

No comments:

Post a Comment