FULL TIME: CAF CL: AL AHLY 2 v 1 YOUNG AFRICANS
Yanga SC wako ugenini kuwakabili wenyeji Al Ahly SC katika mchezo wa
marudiano wa Ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL), mchezo unaondelea mpaka sasa katika uwanja wa Borg El Arab.
Kipindi cha kwanza bado ni 0-0
Mpumziko bado ni 0-0
Kipindi cha pili Al Ahly SC wanapata bao la kwanza 1-0 dhidi ya Yanga ya Tanzania.
Bao likifungwa na Hossam Mohamed Ghaly dakika ya 53 huku bao la kusawazisha la Yanga likifungwa dakika ya 67 na Donald Ngoma.
Bao la ushindi la Al Ahly SC limefungwa dakika ya 90 na Abdallah El Said
No comments:
Post a Comment