BUKOBA SPORTS

Sunday, January 1, 2017

MAPINDUZI CUP 2016/17 TIMU YA URA YAINYUKA BAO 2-0 DHIDI YA TIMU YA KVZ

Beki wa Timu ya URA ya Uganda Atambi Julias akiwa na mpira huku mshambuliaji wa KVZ ya Zanzibar Sultan Said akijiandaa kuchukua mpira wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo unaofanyika jioni hii katika uwanja wa Amaan Timu ya URA inaongoza kwa bao 1--0 lililopatikana katika kipindi cha pili cha mchezo huo lililofungwa na mchezaji Bukota Alabama katika dakika ya 57 ya mchezo huo kipindi cha pili.Timu ya URA imeshinda katika mchezo huo kwa mabao 2-0.

Mshambuliaji wa Timu ya KVZ Sultan Said kulia na beki wa Timu ya URA Matyuba Julias wakiwania mpira huo wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Kipa wa Timu ya URA ya Uganda Alionzi Nafian akiokoa mpira golini kwake huku mshambuliaji wa Timu ya KVZ akiwa tayari kuchukua mpira huo wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya URA imeshinda 2--0.

Mshambuliaji wa Timu ya KVZ Sultan Said akimiliki mpira huku beki wa Timu ya URA Munaab Allian akijiribu kumzuiya wakati wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi.

No comments:

Post a Comment