Mkorea Kusini Son Heung-min na Pedro Obiang wamefunga magoli masafi ya mashuti ya mbali wakati Tottenham ikilazimisha sare ya 1-1 dhidi ya West Ham. Obiang aliachia shuti la umbali wa yadi 35 na mpira kujaa kwenye kona ya juu ya goli, naye Son alifanikiwa kufunga kwa shuti la umbali wa yadi 30 katika dakika ya 84. Pedro Obiang akiachia shuti la umbali wa yadi 35 na kufunga goli Son Heung-min akiachia shuti na kufunga goli la kusawazisha kwa umbali wa ydi 30 Maajabu ya mpira kipa Adrian akidaka kichwa cha Cheikou Kouyate badala ya mpira
No comments:
Post a Comment