Mlinda mlango wa Liverpool Lois Karius hakuweza kabisa kudaka mpira wa Mawson (kulia) ambao ulipigwa ukitokea kama kona.
Mchezaji bora katika mchezo huo Lukasz Fabianski kipa wa Swansea ambaye alilinda lango lake thabiti na kuumaliza bila kufungwa bao.
No comments:
Post a Comment