FAHAMU
-Listi hii itakuwa ikirekebishwa mara kwa mara kufuatana na Klabu zinavyopata na kuwatoa Wachezaji wao.
-AMEACHWA=Hii inamaanisha Mkataba umekwisha ama Klabu imemtema
-BURE=Amehama bila Ada yeyote.
ARSENAL
NDANI: Lukas Podoloski (Cologne, £11m)
NJE: Manuel Almunia (Ameachwa), Gavin Hoyte (Ameachwa)
ASTON VILLA
NDANI: Brett Holman (AZ Alkmaar, Bure)
NJE: Emile Heskey (Ameachwa), Carlos Cuellar (Ameachwa), Brad Guzan (Ameachwa)
CHELSEA
NDANI: Marko Marin (Werder Bremen, £7m), Eden Hazard (Lille, £32m)
NJE: Didier Drogba (Ameachwa)
EVERTON
NDANI: Hamna
NJE: Adam Forshaw (Brentford, Ada haikutajwa), James McFadden (Ameachwa), Marcus Hahnemann (Ameachwa)
FULHAM
NDANI: Hamna
NJE: Hamna
LIVERPOOL
NDANI: Hamna
NJE: Dirk Kuyt (Fenerbache, £1m), Fabio Aurelio (Gremio, Bure), David Amoo (Preston North End, Bure)
MANCHESTER CITY
NDANI: Hamna
NJE: Owen Hargreaves (released)
MANCHESTER UNITED
NDANI: Hamna
NJE: Tomasz Kuszczak (Ameachwa), Michael Owen (Ameachwa), Richie De Laet (Leicester, Ada haikutajwa), Matty James (Leicester, Ada haikutajwa)
NEWCASTLE
NDANI: Romain Amalfitano (Reims, Ada haikutajwa)
NJE: Hamna
NORWICH
NDANI: Hamna
NJE: Zak Whitbread (Ameachwa), Aaron Wilbraham (Ameachwa), Josh Dawkin (Ameachwa)
QUEENS PARK RANGERS
NDANI: Hamna
NJE: Peter Ramage (Ameachwa), Danny Gabbidon (Ameachwa), Danny Shittu (Ameachwa), Fitz Hall (Ameachwa), Gary Borrowdale (Ameachwa), Lee Cook (Ameachwa), Rowan Vine (Ameachwa), Patrick Agyemang (Ameachwa)
READING
NDANI: Garath McCleary (Nottingham Forest, Bure)
NJE: Brian Howard (Ameachwa), Tomasz Cywka (Ameachwa), Andy Griffin (Ameachwa), Jack Mills (Ameachwa)
SOUTHAMPTON
NDANI: Hamna
NJE: Radhi Jaidi (Amestaafu), David Connolly (Ameachwa), Bartosz Bialkowski (Ameachwa), Lee Holmes (Ameachwa), Ryan Doble (Ameachwa)
STOKE CITY
NDANI: Hamna
NJE: Andrew Davies (Bradford, Bure)
SUNDERLAND
NDANI: Hamna
NJE: Craig Gordon (Ameachwa), Jordan Cook (Ameachwa)
SWANSEA
NDANI: Hamna
NJE: Hamna
TOTTENHAM
NDANI: Hamna
NJE: Hamna
WEST BROMWICH
NDANI: Hamna
NJE: Nicky Shorey (Ameachwa), Joe Mattock (Ameachwa), Somen Tchoyi (Ameachwa),
WEST HAM UNITED
NDANI: Stephen Henderson (Portsmouth, Ada haikutajwa)
NJE: Julien Faubert (Ameachwa), John Carew (Ameachwa), Abdoulaye Faye (Ameachwa), Papa Bouba Diop (Ameachwa), Frank Nouble (Ameachwa),
WIGAN
NDANI: Hamna
NJE: Chris Kirkland (Sheffield Wednesday, Bure)
No comments:
Post a Comment