Timu ambazo zipo kwenye hilo kundi la kifo ni Real Madrid(Ilishinda ligi ya Hispania msimu uliyopita), Ajax (Ilishinda ligi ya uholanzi msimu uliopita), na Borrussia Dortmund( Ilishinda ligi ya Ujerumani msimu uliopita).
kwa hiyo kundi hili "D" ni vigumu kutabiri nani atashinda.
Kundi hili ni gumu sana na kama kocha wa Man city anataka achukue naafasi ya kwanza au ya pili inabidi wachezaji wengine wapumzike kucheza mechi za ligi kuu ya England mara kwa mara.
- Wakati huo huo mabingwa watetezi Chelsea watakutana na Juventus, Shakhtar Donetsk na FC Nordsjaelland ya Denmark. Huku Celtic watapambana na Barcelona pamoja na Benfica ya Ureno na Spartak Moscow.
Na wale mashetani wekundu Manchester United na washika bunduki Arsenal wakisemekana kuwemo kwenye makundi laini.
Makundi hayo ni kama ifuatavyo:
GROUP A
FC Porto
Dynamo Kiev
Paris Saint Germain
Dinamo Zagreb
******
GROUP B
Arsenal
Schalke
Olympiakos
Montpellier
******
GROUP C
AC Milan
Zenit
Anderlecht
Malaga
******
GROUP D
Real Madrid
Manchester City
Ajax
Borussia Dortmund
******
GROUP E
Chelsea
Shakhtar Donetsk
Juventus
FC Nordsjaelland
******
GROUP F
Bayern Munich
Valencia
Lille
BATE Borisov
******
GROUP G
Barcelona
Benfica
Spartak Moscow
Celtic
******
GROUP H
Manchester United
Braga
Galatasaray
CFR Cluj
No comments:
Post a Comment