BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 14, 2012

BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO KUZICHAPA NA NASSIBU RAMADHANI DESEMBA 9


Mkurugenzi wa Kampuni ya Darworld Links, Mohamed Bawazir akionesha mkanda wa ubingwa wa mabara wa WBF ambao utashindaniwa na mabondia Nassibu Ramadhani (shoto) na Francis Miyeyusho


Mabondia Francis Miyeyusho na Nassibu Ramadhani (kushoto) wakitambiana wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kwenye Hotel ya JB Belmont

No comments:

Post a Comment