BUKOBA SPORTS

Tuesday, November 27, 2012

MAREHEMU JOHN MAGANGA ALIYEKUWA MSANII WA BONGO MOVIES AAGWA NA WENGI JIJINI DAR..!

Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam. 

Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez', akituliwa na wenzake, Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii.

Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye shughyuli ya kuaga mwili wa msanii, John Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Stephen Maganga, baba wa msanii John Maganga wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyama, Dar es salaam.

Katibu wa NEC, Itikadi ana Uenezi, Nape Nnauye akita jambo na mmoja wa Wafiwa.Picha Zimeletwa na Bashir Nkromo-idara ya itikadi na Uenezi-CCM

No comments:

Post a Comment