LEO Manchester City ikicheza na timu ya Supersport ya Africa kusini imefungwa bao 2-0 bila majibu huku timu hiyo inayoongozwa na kocha mpya Pellegrini imefungwa bila nyota wao kadhaa ambao bado wapo mapumzikoni mpaka sasa ambao ni David Silva, Sergio Aguero, Pablo Zabaleta na aliyesajiliwa hivi karibuni Jesus Navas 
Matija Nastasic akiangalia mpira ukiishilia nyavuni baada ya Mame Niang kutupia nyavuni

Hata mchezaji wao mpya Fernandinho ameshindwa kuonesha makeke

Scott Sinclair akicheza uwanjani leo hii
No comments:
Post a Comment